Agano la Kale

Agano Jipya

Walawi 14:22 Biblia Habari Njema (BHN)

Ataleta pia hua wawili au makinda mawili ya njiwa kadiri anavyoweza mmoja atakuwa kwa ajili ya sadaka ya kuondoa dhambi na mwingine kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa.

Kusoma sura kamili Walawi 14

Mtazamo Walawi 14:22 katika mazingira