Agano la Kale

Agano Jipya

Walawi 13:55 Biblia Habari Njema (BHN)

Kuhani ataliangalia hilo vazi baada ya kuoshwa. Ikiwa ile alama haijabadilika rangi yake hata ingawa upele haukuenea, basi, vazi hilo ni najisi. Vazi hilo utalichoma moto, iwe alama ya upele ipo nyuma au mbele ya vazi hilo.

Kusoma sura kamili Walawi 13

Mtazamo Walawi 13:55 katika mazingira