Agano la Kale

Agano Jipya

Waamuzi 9:36 Biblia Habari Njema (BHN)

Gaali alipomwona akamwambia Zebuli, “Tazama, watu wanashuka kutoka vilele vya mlima.” Zebuli akamwambia, “Wewe unaona vivuli vya milima kana kwamba ni watu.”

Kusoma sura kamili Waamuzi 9

Mtazamo Waamuzi 9:36 katika mazingira