Agano la Kale

Agano Jipya

Waamuzi 9:24 Biblia Habari Njema (BHN)

Ndivyo walivyoadhibiwa watu wa Shekemu pamoja na ndugu yao Abimeleki kwa ukatili waliowafanyia wana sabini wa Yerubaali. Adhabu ya mauaji hayo iliwapata maana Abimeleki aliwaua akisaidiwa na hao watu wa Shekemu.

Kusoma sura kamili Waamuzi 9

Mtazamo Waamuzi 9:24 katika mazingira