Agano la Kale

Agano Jipya

Waamuzi 8:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Mungu amewatia mikononi mwenu wakuu wa Midiani, Orebu, na Zeebu. Je, mimi nimefanya nini nikilinganishwa nanyi?” Gideoni alipokwisha sema hivyo, hasira yao dhidi yake ikatulia.

Kusoma sura kamili Waamuzi 8

Mtazamo Waamuzi 8:3 katika mazingira