Agano la Kale

Agano Jipya

Waamuzi 8:27 Biblia Habari Njema (BHN)

Gideoni akazitumia kutengenezea kizibao ambacho alikiweka kwenye mji wake wa Ofra. Waisraeli wote wakaenda huko kukiabudu. Kizibao hicho kikawa mtego kwa Gideoni na jamaa yake.

Kusoma sura kamili Waamuzi 8

Mtazamo Waamuzi 8:27 katika mazingira