Agano la Kale

Agano Jipya

Waamuzi 8:22 Biblia Habari Njema (BHN)

Kisha, Waisraeli wakamwambia Gideoni, “Wewe na uwe mtawala wetu, na baada yako watutawale wazawa wako, kwa kuwa wewe umetukomboa kutoka kwa Wamidiani.”

Kusoma sura kamili Waamuzi 8

Mtazamo Waamuzi 8:22 katika mazingira