Agano la Kale

Agano Jipya

Waamuzi 7:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, Gideoni akachukua vyakula vya wale waliokuwa wanaondoka na tarumbeta, akawaaga waende makwao. Yeye akabaki na wale watu 300. Kambi ya Wamidiani ilikuwa bondeni upande wao wa chini.

Kusoma sura kamili Waamuzi 7

Mtazamo Waamuzi 7:8 katika mazingira