Agano la Kale

Agano Jipya

Waamuzi 5:28 Biblia Habari Njema (BHN)

“Mama yake Sisera alitazama dirishanialichungulia katika viunzi vyake, akalalamika:‘Kwa nini gari lake limechelewa?Mbona vishindo vya magari yake vimechelewa kusikika?’

Kusoma sura kamili Waamuzi 5

Mtazamo Waamuzi 5:28 katika mazingira