Agano la Kale

Agano Jipya

Waamuzi 5:19 Biblia Habari Njema (BHN)

“Huko Taanaki, kando ya chemchemi za Megido,wafalme walikuja, wakapigana;wafalme wa Kanaani walipigana,lakini hawakupata nyara za fedha.

Kusoma sura kamili Waamuzi 5

Mtazamo Waamuzi 5:19 katika mazingira