Agano la Kale

Agano Jipya

Waamuzi 5:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Imbeni kupita wanamuziki kwenye visima vya maji,tangazeni ushindi wa Mwenyezi-Mungu,ushindi kwa wakulima wake katika Israeli.Ndipo watu wa Mwenyezi-Mungu waliposhuka malangoni.

Kusoma sura kamili Waamuzi 5

Mtazamo Waamuzi 5:11 katika mazingira