Agano la Kale

Agano Jipya

Waamuzi 20:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Nao watu wa kabila la Benyamini, wakapata habari kwamba watu wale wengine wa Israeli walikuwa wamekusanyika huko Mizpa.Basi Waisraeli wakamwuliza yule mwanamume Mlawi “Tueleze, uovu huo ulifanyikaje?”

Kusoma sura kamili Waamuzi 20

Mtazamo Waamuzi 20:3 katika mazingira