Agano la Kale

Agano Jipya

Waamuzi 19:28 Biblia Habari Njema (BHN)

Akamwambia, “Simama twende.” Lakini yeye hakujibu kitu. Akamchukua, akamweka juu ya punda wake na kumpeleka mpaka nyumbani kwake.

Kusoma sura kamili Waamuzi 19

Mtazamo Waamuzi 19:28 katika mazingira