Agano la Kale

Agano Jipya

Waamuzi 19:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Wakaingia mjini wapate kulala humo usiku. Walipoingia mjini wakaenda kukaa kwenye uwanja wa wazi wa mji, kwani hakuna mtu aliyewakaribisha nyumbani kwake.

Kusoma sura kamili Waamuzi 19

Mtazamo Waamuzi 19:15 katika mazingira