Agano la Kale

Agano Jipya

Waamuzi 16:17 Biblia Habari Njema (BHN)

hakuweza kuvumilia, akamfunulia siri yake, akisema, “Nywele zangu kamwe hazijapata kunyolewa. Mimi nimewekwa wakfu kwa Mungu tangu tumboni mwa mama yangu. Kama nikinyolewa nguvu zangu zitanitoka, nami nitakuwa dhaifu kama mtu yeyote.”

Kusoma sura kamili Waamuzi 16

Mtazamo Waamuzi 16:17 katika mazingira