Agano la Kale

Agano Jipya

Waamuzi 14:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi siku ya saba wakamwambia mke wa Samsoni, “Mbembeleze mumeo ili atuambie maana ya kitendawili hicho, la sivyo tutakuteketeza kwa moto wewe pamoja na nyumba ya baba yako. Je, mlitualika hapa kuja kutunyanganya mali zetu?”

Kusoma sura kamili Waamuzi 14

Mtazamo Waamuzi 14:15 katika mazingira