Agano la Kale

Agano Jipya

Waamuzi 13:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini aliniambia kwamba nitachukua mimba na kuzaa mtoto wa kiume. Aliniamuru nisinywe divai au kileo wala kula chochote kilicho najisi, maana mtoto huyo atakuwa amewekwa wakfu kwa Mungu tangu kuzaliwa kwake mpaka atakapokufa.”

Kusoma sura kamili Waamuzi 13

Mtazamo Waamuzi 13:7 katika mazingira