Agano la Kale

Agano Jipya

Waamuzi 11:34 Biblia Habari Njema (BHN)

Yeftha alipokuwa anarudi nyumbani kwake huko Mizpa, binti yake akatoka kuja kumlaki akicheza na kupiga matari. Msichana huyo alikuwa ndiye mtoto wake wa pekee. Yeftha hakuwa na mtoto mwingine wa kiume wala wa kike.

Kusoma sura kamili Waamuzi 11

Mtazamo Waamuzi 11:34 katika mazingira