Agano la Kale

Agano Jipya

Waamuzi 1:35 Biblia Habari Njema (BHN)

Waamori waliendelea kuishi katika miji iliyokuwa katika kilima cha Heresi, Aiyaloni na Shaalbimu. Lakini watu wa makabila ya Manase na Efraimu waliwatawala Waamori na kuwafanya wafanye kazi za kulazimishwa.

Kusoma sura kamili Waamuzi 1

Mtazamo Waamuzi 1:35 katika mazingira