Agano la Kale

Agano Jipya

Sefania 1:18 Biblia Habari Njema (BHN)

Fedha yao wala dhahabu yao havitaweza kuwaokoakatika siku hiyo ya ghadhabu ya Mwenyezi-Mungu.Kwa moto wa wivu wakedunia yote itateketezwa.Kwa ukamilifu na kwa namna ya kutishaatawafanya wakazi wote duniani watoweke.

Kusoma sura kamili Sefania 1

Mtazamo Sefania 1:18 katika mazingira