Agano la Kale

Agano Jipya

Ruthu 4:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Yule jamaa aliyekuwa wa karibu akajibu, “Ikiwa ni hivyo, sitalifidia shamba hilo, kwa sababu yaonekana kuwa nitauharibu urithi wangu. Afadhali haki yangu ya kulichukua nikupe wewe, maana mimi siwezi kulifidia.”

Kusoma sura kamili Ruthu 4

Mtazamo Ruthu 4:6 katika mazingira