Agano la Kale

Agano Jipya

Ruthu 2:23 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa hiyo, Ruthu akafanya kazi nao, akaokota masuke mpaka mavuno ya ngano na shayiri yalipomalizika. Wakati huo wote alikuwa anakaa na mama mkwe wake.

Kusoma sura kamili Ruthu 2

Mtazamo Ruthu 2:23 katika mazingira