Agano la Kale

Agano Jipya

Nehemia 8:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Ezra, ambaye alikuwa kuhani, akaenda na kukileta kitabu cha sheria ya Mose mbele ya mkutano mzima, wanaume kwa wanawake na yeyote aliyeweza kuielewa hiyo sheria aliposikia. Siku hiyo ilikuwa ni siku ya kwanza ya mwezi wa saba.

Kusoma sura kamili Nehemia 8

Mtazamo Nehemia 8:2 katika mazingira