Agano la Kale

Agano Jipya

Nehemia 6:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Nilipokwenda nyumbani kwa Shemaya, mwana wa Delaya mwana wa Mehetabeli, ambaye hakuruhusiwa kutoka nyumbani, aliniambia, “Twende tukutane katika nyumba ya Mungu na milango yake tuifunge kwa sababu leo usiku wanakuja kukuua.”

Kusoma sura kamili Nehemia 6

Mtazamo Nehemia 6:10 katika mazingira