Agano la Kale

Agano Jipya

Nehemia 4:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini Sanbalati, Tobia, Waarabu, Waamoni na Waashdodi waliposikia kuwa ujenzi mpya wa ukuta wa Yerusalemu ulikuwa unasonga mbele na kwamba mapengo katika ukuta yanazibwa barabara, wao walizidi kukasirika.

Kusoma sura kamili Nehemia 4

Mtazamo Nehemia 4:7 katika mazingira