Agano la Kale

Agano Jipya

Nehemia 4:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Watu wa Yuda wakawa wakilalamika wakisema, “Nguvu za vibarua zinapungua na bado kuna takataka nyingi za kubeba. Hatuwezi kuendelea kujenga ukuta.”

Kusoma sura kamili Nehemia 4

Mtazamo Nehemia 4:10 katika mazingira