Agano la Kale

Agano Jipya

Nehemia 11:17 Biblia Habari Njema (BHN)

na Matania, mwana wa Mika, mwana wa Zabdi, mzawa wa Asafu, aliyekuwa kiongozi wakati wa kuomba sala za shukrani. Bakbukia alikuwa msaidizi wake. Pamoja nao alikuwako Abda, mwana wa Shamua, mwana wa Galali na mzawa wa Yeduthuni.

Kusoma sura kamili Nehemia 11

Mtazamo Nehemia 11:17 katika mazingira