5. Harimu, Meremothi, Obadia,
6. Danieli, Ginethoni, Baruku,
7. Meshulamu, Abiya, Miyamini,
8. Maazia, Bilgai na Shemaya.
9. Pia majina ya Walawi: Yeshua, mwana wa Azania, Binui, wazawa wa Henadadi, Kadmieli.
10. Na ndugu zao waliotia sahihi ni: Shebania, Hodia, Kelita, Pelaya, Hanani,
11. Mika, Rehobu, Hashabia,
12. Zakuri, Sherebia, Shebania,
13. Hodia, Bani na Beninu.
14. Majina ya viongozi wa watu: Paroshi, Pahath-moabu, Elamu, Zatu, Bani,
15. Buni, Azgadi, Bebai,
16. Adoniya, Bigwai, Adini,
17. Ateri, Hezekia, Azuri,