Agano la Kale

Agano Jipya

Nehemia 10:38 Biblia Habari Njema (BHN)

Kuhani, mzawa wa Aroni, atakuwa na Walawi wanapopokea zaka. Halafu Walawi watapeleka sehemu ya kumi ya zaka zote zilizotolewa katika nyumba ya Mungu kwenye vyumba na ghala.

Kusoma sura kamili Nehemia 10

Mtazamo Nehemia 10:38 katika mazingira