Agano la Kale

Agano Jipya

Nehemia 10:1-13 Biblia Habari Njema (BHN)

1. Kwenye hati yenye mhuri kulikuwapo majina ya Nehemia, mtawala wa mkoa, mwana wa Hakalia, na Sedekia;

2. Seraya, Azaria, Yeremia,

3. Pashuri, Amaria, Malkiya,

4. Hatushi, Shebania, Maluki,

5. Harimu, Meremothi, Obadia,

6. Danieli, Ginethoni, Baruku,

7. Meshulamu, Abiya, Miyamini,

8. Maazia, Bilgai na Shemaya.

9. Pia majina ya Walawi: Yeshua, mwana wa Azania, Binui, wazawa wa Henadadi, Kadmieli.

10. Na ndugu zao waliotia sahihi ni: Shebania, Hodia, Kelita, Pelaya, Hanani,

11. Mika, Rehobu, Hashabia,

12. Zakuri, Sherebia, Shebania,

13. Hodia, Bani na Beninu.

Kusoma sura kamili Nehemia 10