Agano la Kale

Agano Jipya

Mwanzo 47:26 Biblia Habari Njema (BHN)

Ndivyo Yosefu alivyotangaza sheria moja ambayo iko mpaka leo nchini Misri: Kila raia lazima atoe sehemu moja ya tano ya mavuno yake kwa Farao. Ardhi ya makuhani tu ndiyo haikununuliwa na kufanywa mali ya Farao.

Kusoma sura kamili Mwanzo 47

Mtazamo Mwanzo 47:26 katika mazingira