Agano la Kale

Agano Jipya

Mwanzo 47:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Baada ya watu wote wa nchi ya Misri na Kanaani kutumia fedha yao yote Wamisri wote walimjia Yosefu na kumwambia, “Tupe chakula! Kwa nini tufe mbele ya macho yako? Tazama, sasa fedha yetu imekwisha!”

Kusoma sura kamili Mwanzo 47

Mtazamo Mwanzo 47:15 katika mazingira