Agano la Kale

Agano Jipya

Mwanzo 46:31 Biblia Habari Njema (BHN)

Yosefu akawaambia ndugu zake na jamaa yote ya baba yake, “Nakwenda kumwarifu Farao kwamba ndugu zangu na jamaa yote ya baba yangu waliokuwa katika nchi ya Kanaani wamekuja kwangu.

Kusoma sura kamili Mwanzo 46

Mtazamo Mwanzo 46:31 katika mazingira