Agano la Kale

Agano Jipya

Mwanzo 46:20 Biblia Habari Njema (BHN)

Huko Misri, Asenathi, binti Potifera, aliyekuwa kuhani wa mji wa Oni, alimzalia Yosefu wana wawili: Manase na Efraimu.

Kusoma sura kamili Mwanzo 46

Mtazamo Mwanzo 46:20 katika mazingira