Agano la Kale

Agano Jipya

Mwanzo 45:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Yosefu akawaambia ndugu zake, “Mimi ni Yosefu. Je, baba yangu angali hai?” Lakini ndugu zake wakapigwa na bumbuazi mbele yake, hata wakashindwa kumjibu.

Kusoma sura kamili Mwanzo 45

Mtazamo Mwanzo 45:3 katika mazingira