Agano la Kale

Agano Jipya

Mwanzo 44:18 Biblia Habari Njema (BHN)

Ndipo Yuda akamkaribia Yosefu na kumwambia, “Bwana, nakuomba uniruhusu mimi mtumishi wako, nijitetee mbele yako kwa maneno machache; ninakusihi usinikasirikie, kwani wewe ni kama Farao mwenyewe.

Kusoma sura kamili Mwanzo 44

Mtazamo Mwanzo 44:18 katika mazingira