Agano la Kale

Agano Jipya

Mwanzo 41:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Kulipokuwa asubuhi, Farao akiwa na wasiwasi sana, aliwaita wachawi wote wa Misri, na wenye hekima, akawaambia ndoto zake, lakini hakuna hata mmoja aliyeweza kumtafsiria ndoto hizo.

Kusoma sura kamili Mwanzo 41

Mtazamo Mwanzo 41:8 katika mazingira