Agano la Kale

Agano Jipya

Mwanzo 41:48 Biblia Habari Njema (BHN)

Yosefu akakusanya chakula chote wakati huo wa miaka saba ya shibe na kukiweka akiba katika miji ya Misri. Katika kila mji akaweka akiba ya chakula kutoka mashamba yaliyo karibu na mji huo.

Kusoma sura kamili Mwanzo 41

Mtazamo Mwanzo 41:48 katika mazingira