Agano la Kale

Agano Jipya

Mwanzo 41:34 Biblia Habari Njema (BHN)

Tena, ee Farao, uwateue wasimamizi kadhaa hapa nchini, uwaagize wakusanye sehemu ya tano ya mavuno yote ya Misri katika kipindi hiki cha miaka saba ya shibe.

Kusoma sura kamili Mwanzo 41

Mtazamo Mwanzo 41:34 katika mazingira