Agano la Kale

Agano Jipya

Mwanzo 38:18 Biblia Habari Njema (BHN)

Yuda akamwuliza, “Unataka nikupe nini kama rehani?” Naye akamjibu, “Nipe hiyo pete na kamba yake pamoja na hiyo fimbo unayoshika.” Basi, Yuda akampa vitu hivyo vyote, akalala naye. Tamari akapata mimba yake.

Kusoma sura kamili Mwanzo 38

Mtazamo Mwanzo 38:18 katika mazingira