Agano la Kale

Agano Jipya

Mwanzo 36:1-3 Biblia Habari Njema (BHN)

1. Wafuatao ni wazawa wa Esau (yaani Edomu).

2. Esau alioa wake Wakanaani: Ada binti Eloni Mhiti, Oholibama binti Ana, binti Sibeoni, Mhivi,

3. na Basemathi, binti Ishmaeli, dada yake Nebayothi.

Kusoma sura kamili Mwanzo 36