Agano la Kale

Agano Jipya

Mwanzo 34:30 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, Yakobo akamwambia Simeoni na Lawi, “Nyinyi mmeniletea taabu kwa kunifanya nichukiwe na wakazi wa nchi hii ya Wakanaani na Waperizi. Mimi sina watu wengi, na kama wakikusanyika kunishambulia wataniangamiza mimi pamoja na jamaa yangu.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 34

Mtazamo Mwanzo 34:30 katika mazingira