Agano la Kale

Agano Jipya

Mwanzo 30:26 Biblia Habari Njema (BHN)

Nipe wake zangu na watoto wangu ambao nimejipatia kutokana na utumishi wangu kwako, niondoke nao. Unajua kwamba nimekutumikia vema.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 30

Mtazamo Mwanzo 30:26 katika mazingira