Agano la Kale

Agano Jipya

Mwanzo 28:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Wazawa wako watakuwa wengi kama mavumbi ya dunia, na milki yao itaenea kila mahali: Magharibi, Mashariki, Kaskazini na Kusini. Kwako jamii zote duniani zitabarikiwa.

Kusoma sura kamili Mwanzo 28

Mtazamo Mwanzo 28:14 katika mazingira