Agano la Kale

Agano Jipya

Mwanzo 28:12 Biblia Habari Njema (BHN)

Aliota ndoto, na katika ndoto hiyo, aliona ngazi iliyosimamishwa duniani na ncha yake inafika mbinguni. Malaika wa Mungu walikuwa wakipanda na kushuka katika ngazi hiyo.

Kusoma sura kamili Mwanzo 28

Mtazamo Mwanzo 28:12 katika mazingira