Agano la Kale

Agano Jipya

Mwanzo 24:3 Biblia Habari Njema (BHN)

nami nitakuapisha kwa jina la Mwenyezi-Mungu, Mungu wa mbingu na dunia, kwamba hutamwoza mwanangu msichana yeyote miongoni mwa binti za Wakanaani ninaoishi nao.

Kusoma sura kamili Mwanzo 24

Mtazamo Mwanzo 24:3 katika mazingira