Agano la Kale

Agano Jipya

Mwanzo 23:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, shamba la Efroni lililoko huko Makpela, mashariki ya Mamre, pango na miti yote iliyokuwamo pamoja na eneo zima, likawa lake

Kusoma sura kamili Mwanzo 23

Mtazamo Mwanzo 23:17 katika mazingira