Agano la Kale

Agano Jipya

Mwanzo 22:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Isaka akamwuliza baba yake, “Baba, moto na kuni tunazo; lakini mwanakondoo wa sadaka ya kuteketezwa yuko wapi?”

Kusoma sura kamili Mwanzo 22

Mtazamo Mwanzo 22:7 katika mazingira