Agano la Kale

Agano Jipya

Mwanzo 19:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Tazama, ninao binti wawili ambao bado hawajalala na mwanamume. Mniruhusu niwapeni hao wasichana muwatendee kama mpendavyo. Lakini msiwatende lolote wanaume hawa kwa sababu ni wageni wangu.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 19

Mtazamo Mwanzo 19:8 katika mazingira