Agano la Kale

Agano Jipya

Mwanzo 19:29 Biblia Habari Njema (BHN)

Mungu alipoiangamiza miji ya bondeni alimokuwa anakaa Loti, alimkumbuka Abrahamu kwa kumtoa Loti katika miji hiyo, ili Loti asije akaangamia pamoja nayo.

Kusoma sura kamili Mwanzo 19

Mtazamo Mwanzo 19:29 katika mazingira